KATIBU MKUU WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO, GERSON MSIGWA AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU DUNIANI ( FIFA) GIANNI INFANTINO

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani ( FIFA) Gianni Infantino, Kocha wa zamani wa timu ya Asernal, Arsene Wenger pamoja na Wachezaji wa Timu ya Simba mara baada ya mchezo wa Ufunguzi wa African Football League kati ya Simba na Al Ahly ya nchini Misri, uliochezwa Oktoba 20, 2023 Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *