WAZIRI WA MAMBO WA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI MHE. JANUARY Y. MAKAMBA AMEFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA ZAMBIA MHE. STANLEY K. KAKUBO

Waziri wa Mambo wa Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Y. Makamba amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Zambia Mhe. Stanley K. Kakubo. Wamejadili masuala mbalimbali kuelekea ziara ya Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini humo kuanzia tarehe 23-25 Oktoba 2023

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *