Matukio mbalimbali katika picha leo Oktoba 26, 2023, ikiwa ni siku ya Pili na ya mwisho ya Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini unaoendelea katika Ukumbi wa Kimataifa (JNICC) ambapo Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa anatarajiwa kufunga rasmi mkutano huo.
Kwa mara ya kwanza katika Historia ya Tanzania katika Sekta ya Madini, Kampuni ya Noble Helium wamepeleka chini Rig Yao kuanza kazi ya Utafiti na Uchorongaji Madini ya Helium Mkoani Rukwa,” Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde.