Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Angellah Kairuki (Mb) amefanya mazungumzo na wawekezaji kutoka nchini Italia ambao wameonesha nia ya kutaka kuwekeza nchini Tanzania katika biashara ya hewa ya kaboni pamoja na huduma za malazi