RAIS WA JAMHURI YA SHIRIKISHO LA UJERUMANI MHE. DKT. FRANK WALTER STEINMEIER AKIZUNGUMZA NA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MAJIAMAJI SONGEA MKOANI RUVUMA

Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani Mhe. Dkt. Frank Walter Steinmeier akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Majiamaji Songea Mkoani Ruvuma alipotembelea Shule hiyo Novemba 1, 2023 ambapo amewakabidhi jezi na mipira kwa ajili ya michezo.

Mhe. Steinmeier aliambatana na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro pamoja na viongozi wengine.

Aidha, Rais Mhe. Stainmeier mara baada ya ziara hiyo, ameondoka nchini kuelekea chini Zambia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *