RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMEMKABIDHI NYUMBA MJANE WA RAIS WA AWAMU YA TANO DKT JOHN MAGUFULI, MAMA JANETH MAGUFULI JIJINI DAR ES SALAAM.

 Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Akiwa Kwenye Mazungumzo Na Mjane Wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Mama Janeth Magufuli wakati wa hafla fupi ya kukabidhi nyumba ya kuishi iliyopo wilaya ya Kinondoni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa nyumba mpya ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, na kuikabidhi kwa Mama Janeth Magufuli, nyumba hiyo imejengwa na Serikali kwa mujibu wa sheria

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mfano wa ufunguo mjane wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Mama Janeth Magufuli ikiwa ni ishara ya kukabidhi nyumba mpya ya kuishi kwa familia ya Dkt. John Pombe Magufuli

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *