RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN  AMTEMBELEA WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA  NYUMBANI KWAKE KUMPA POLE YA KUFIWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa alimpotembelea nyumbani kwake kumpa pole ya kufiwa na Kaka yake Issa Juma Ngalapa aliyefariki alfajiri ya leo, Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *