Katibu Mtendaji wa BAKITA, Bi. Consolata Mushi akikabidhi baadhi ya machapisho ya BAKITA kwa Mkuu wa Kitengo cha Dini ya Kiislamu Barani Afrika kutoka nchini Iraq Bw. Muslim Sabeeh.
Bw. Sabeeh alitembelea BAKITA kwa ajili ya kufahamu shughuli za BAKITA na kutambua thamani ya Kiswahili katika lugha za Kiafrika.