RAIS DKT, SAMIA AHUDHURIA MKUTANO WA MKUTANO WA JUKWAA LA UWEKEZAJI AFRIKA UNAOFANYIKA MARRAKESH NCHINI MOROCCO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Afrika unaofanyika Marrakesh nchini Morocco tarehe 08 Novemba, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Afrika unaofanyika Marrakesh nchini Morocco tarehe 08 Novemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika, Marrakesh, nchini Morocco, tarehe 08 Novemba, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *