Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameuagiza Wakala wa Ufundi na umeme (TEMESA) kubadilika na kuacha kufanya kazi kwa mazoea na badala yake kuongeza kasi, weledi na ubunifu wa utoaji huduma kwa wadau wake ili kuleta tija kwa Wakala huo.

Hayo ameyasema Waziri huyo leo tarehe 08 Novemba, 2023 jijini Dodoma wakati akizindua Bodi ya Ushauri wa Wakala huo ambayo imeundwa na wajumbe Sita kwa Mujibu wa Sheria.