ZIARA YA KAMATI YA SIASA YA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA DAR ES SALAAM

Ziara ya Kamati ya Siasa Mkoa wa Dar EsSalaam Ikiongozwa na M/kiti wa Ccm Mkoa Ndg. Abas Zuberi Mtemvu, Pamoja na Katibu wa Ccm Mkoa Ndg. Adam Ngalawa na Mnec wa Ccm Mkoa Ndg. Juma Simba

Ziara Hiyo Imeanza Hii Leo Katika Wilaya ya Temeke Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Ccm 2020/25

Lengo Kuhakikisha Wananchi wa Mkoa wa Dsm Wanatimiziwa Ahadi Zote Ambazo Chama Kimeahidi Katika Uchaguzi Mkuu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *