Mhe.Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia ametembelewa Ubalozini na Bi. Joan Guriras (Mjane) wa Hayati Dkt. Theo Ben Gurirab aliyekuwa Waziri wa Kwanza wa Mambo ya Nje, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge la Namibia, kwa lengo la kumsalimia na kufahamiana na Balozi Waitara. Tembelea Tovuti yetu