Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), akitoa hotuba ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kufungua Mkutano wa siku mbili wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka nchi 22 wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF-Afritac East), katika Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salam