WAZIRI WA MALIASILI NAUTALII , MHE. ANGELLAH KAIRUKI AMESHIRIKI KATIKA MKUTANO WA MAWAZIRI WA FEDHA NA MAWAZIRI WA MASUALA YA JINSIA BARANI AFRIKA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ameshiriki katika Mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Mawaziri wa masuala ya Jinsia barani Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Johari Rotana jijini Dar es Salaam leo Novemba 15,2023.

Mgeni rasmi wa Mkutano huo alikua ni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.

Mhe Rais wa Zanzibar Hussein mwinyi akiwasili katika mkutano wa mawaziri wa fedha na mawaziri wa jinsia barani afrika

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *