RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AMPOKEA MGENI WAKE RAIS WA ROMANIA IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis, mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023 .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *