RAIS, DKT SAMIA SULUHU HASSAN AMTAMBULISHA RAIS KLAUS IOHANNIS WA ROMANIA KWA VIONGOZI WA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtambulisha Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis, kwa viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu, Jijini Dar es Salaam, tarehe 17 Novemba 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *