RAIS, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN PAMOJA NA MGENI WAKE RAIS WA ROMANIA KLAUS IOHANNIS, WAKATI WA WIMBO WA TAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa amesimama pamoja na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis, wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa katika mapokezi Rasmi, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, 17 Nov 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *