GWARIDE LA HESHIMA LIKIPITA KWA MWENDO WA HARAKA MBELE YA RAIS, DKT. SAMIA SULUHU HASSANI KABLA YA KUTUNUKIWA KAMISHENI

Gwaride la Heshima likipita kwa mwendo wa haraka mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan, kabla ya kutunukiwa Kamisheni kwa Maafisa wanafunzi Kundi la 04/20-shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 70/22 (Regular) kwa Cheo cha Luteni Usu, katika sherehe zilizofanyika kwenye Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (Tanzania Millitary Academy – TMA) Mkoani Arusha tarehe 18 Novemba 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *