RAIS DKT. HUSSEIN MWINYI AMPOKEA MGENI WAKE RAIS WA ROMANIA

Rais wa Serikali ya Mapinduzi na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe, Dkt Hussein Mwinyi amempokea Mgeni wake Rais wa Romania Mhe Klaus Iohannis Mapema lro alipowasili Kisiwani Zanzibar kwa ziara ya kikazi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *