Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikagua Gwaride la Heshima kabla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wanafunzi wa Kundi la 04/20-Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 70/22 (Regular) kwa Cheo cha Luteni Usu katika sherehe zilizofanyika kwenye Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (Tanzania Millitary Academy – TMA), Mkoani Arusha, tarehe 18 Novemba 2023