VIONGOZI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA ARUSHA KUJADILI MASUALA YA TABIANCHI NA USALAMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), unaojadili masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto Mkoani Arusha, tarehe 23 Novemba, 2023.

Rais wa Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud, pamoja na wageni mbalimbali wakifuatilia kwa makini wakati Viongozi mbalimbali walipokuwa wakizungumza katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), unaojadili masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto Mkoani Arusha, tarehe 23 Novemba, 2023.

Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), unaojadili kuhusu masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto Mkoani Arusha, tarehe 23 Novemba, 2023.

Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), unaojadili kuhusu masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto Mkoani Arusha, tarehe 23 Novemba, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto mara baada ya kuwasili Ngurdoto Mkoani Arusha kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye, pamoja na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto, wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *