WAZIRI WA FEDHA, DKT. MWIGULU NCHEMBA AKITETA JAMBO NA KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), akiteta jambo na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, kabla ya kuanza rasmi kwa Mkutano wa 23 wa Viongozi Wakuu wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, unaofanyika katika Hoteli ya Ngurudoto, Mkoani Arusha, leo tarehe 24 Novemba, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *