Timu ya Tanzania inayoshiriki mashindano ya kuogelea African Aquatic Zone 3 Champion ship imeendelea Kung’ara kwa kushika nafasi ya pili kati ya nchi kumi zinazoshiriki.