WAZIRI WA FEDHA, MHE. DKT. MWIGULU NCHEMBA (MB), AKIMUAGA RAIS WA JAMHURI YA BURUNDI, MHE. EVARISTE NDAYISHIMIYE.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), akimuaga Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, baada ya kushiriki Mkutano wa 23 wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, uliofanyika katika Hoteli ya Ngurdoto, Mkoani Arusha, ambapo katika Mkutano huo, Mhe. Ndayishimiye alimkabidhi Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais wa Sudan Kusini, Mhe. Salva Kiir, baada ya kumaliza muda wake.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), akimpigia Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, baada ya kushiriki Mkutano wa 23 wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, uliofanyika katika Hoteli ya Ngurdoto, Mkoani Arusha, ambapo katika Mkutano huo, Mhe. Ndayishimiye alimkabidhi Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais wa Sudan Kusini, Mhe. Salva Kiir, baada ya kumaliza muda wake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *