Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amehudhuria Mdahalo wa Pamoja wa Wenyeviti wa Bodi ya Wakurugenzi na Washirika wa Maendeleo wa TradeMark Afrika (TMA), unaowashirikisha wajumbe kutoka nchi 14 za Afrika, wanaokutana katika Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam, ambapo wamejadiliana kuhusu masuala mbalimbali ya kukuza biashara na uwezekaji pamoja na mchango wa Teknolojia katika kukuza na kuimarisha biashara katika nchi wanachama, hususan katika kipindi hiki cha utekelezaji wa Soko Huru la Afrika (AFCFTA).
Mdahalo wa Pamoja wa Wenyeviti wa Bodi ya Wakurugenzi na Washirika wa Maendeleo wa TradeMark Afrika (TMA), unaowashirikisha wajumbe kutoka nchi 14 za Afrika, wanaokutana katika Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam, ambapo wamejadiliana kuhusu masuala mbalimbali ya kukuza biashara na uwezekaji pamoja na mchango wa Teknolojia katika kukuza na kuimarisha biashara katika nchi wanachama, hususan katika kipindi hiki cha utekelezaji wa Soko Huru la Afrika (AFCFTA).

Wenyeviti wa Bodi ya Wakurugenzi na Washirika wa Maendeleo wa TradeMark Afrika (TMA), unaowashirikisha wajumbe kutoka nchi 14 za Afrika, wanaokutana katika Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam, ambapo wamejadiliana kuhusu masuala mbalimbali ya kukuza biashara na uwezekaji pamoja na mchango wa Teknolojia katika kukuza na kuimarisha biashara katika nchi wanachama, hususan katika kipindi hiki cha utekelezaji wa Soko Huru la Afrika (AFCFTA).