MHE. CAESAR WAITARA, BALOZI WA TANZANIA NCHINI NAMIBIA AMEMTEMBELEA MHE. JENELLY MATUNDU (MB), NAIBU WAZIRI WA UHUSIANO WA KIMATAIFA NA USHIRIKIANO WA NAMIBIA

Mhe. Caesar Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia amemtembelea Mhe. Jenelly Matundu (Mb), Naibu Waziri wa Uhusiano wa Kimataifa na Ushirikiano wa Namibia kwa lengo na kujitambulisha na kuzungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya Tanzania na Namibia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *