Tunayo furaha kubwa kuzindua rasmi App yetu ya simu itakayorahisisha upatikanaji wa huduma zetu kwa wateja. App yetu inapatikana Play store na App store.
wafanyakazi wa shirika la ndege la AirTanzania wakat wa uzinduzi wa App mpya ya huduma kwa wateja