RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKISALIMIANA NA MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE, DKT. KAMALA HARRIS WAKATI WA MKUTANO (COP28)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris wakati wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai, katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), 02 Desemba, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *