Rais Samia Suluhu Hassan, akipiga makofi pamoja na Viongozi wengine mara baada ya kuzindua Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika Mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), 02 Desemba, 2023.