RAIS. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, AKIWA KWENYE MKUTANO WA G77 KANDO YA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA WA MABADILIKO YA TABIANCHI (COP28) UNAOFANYIKA DUBAI, UMOJA WA FALME ZA KIARABU (UAE) TAREHE 02 DESEMBA, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye Mkutano wa G77 kando ya mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.

Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Watanzania mbalimbali wakati alipotembelea Banda la Maonesho la Tanzania lililopo Dubai kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *