DKT. ELLEN MKONDYA-SENKORO, MKURUGENZI MTENDAJI WA BENJAMIN MKAPA FOUNDATION, ATUNUKIWA DIGRII YA UZAMIVU YA HESHIMA (YAANI HONORARY DOCTOR OF SCIENCE, HONORIS CAUSA)

Seneti ya Hubert Kairuki Memorial University (HKMU) imemtunuku Dkt.Ellen Mkondya-Senkoro, Mkurugenzi Mtendaji wa Benjamin Mkapa Foundation, Digrii ya Uzamivu ya Heshima (yaani Honorary Doctorate of Science, Honoris Causa) katika Mahafali ya 21 ya Chuo hicho.

heshima kubwa kutambuliwa katika uongozi bora na mchango mkubwa katika afya ya jamii. Tunajivunia sana mafanikio haya.

Kwa unyenyekevu nashukuru Baraza lahkm university kwa kutambua mchango wangu ktk maendeleo ya sekta ya afya nchini na kunitunuku Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Doctor of Science Degree) (Honoris Causa) jana. Nitaendelea kuchangia ktk kufanikisha kufikia malengo ya Afya kwa Wote.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *