RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, AKIZUNGUMZA KWENYE MKUTANO WA KILIMO UNAOJADILI FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI  (COP28

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye Mkutano wa Kilimo unaojadili fursa za Uwekezaji na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi pembezoni mwa Mkutano wa (COP28) unaofanyika Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye Mkutano wa Kilimo unaojadili fursa za Uwekezaji na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi pembezoni mwa Mkutano wa (COP28) unaofanyika Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), 03 Desemba, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *