WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMEMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KATIKA TAMASHA ‘BIBITITI FESTIVAL’ IKWIRIRI MKOANI PWANI.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa_ leo Disemba 03, 2023 amemwakilisha Rais Dkt. Samia katika Tamasha ‘BibiTiti Festival’ linalofanyika katika viwanja vya Ujamaa, Ikwiriri mkoani Pwani.

Wananchi

pamoja na mambo mengine Waziri Mkuu amegawa magari 22 kwa ajili ya usimamizi na ufuatiliaji wa shughuli za Afya kwenye Sekretarieti za Mikoa na Halmashauri za Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara.

pamoja na mambo mengine Waziri Mkuu amegawa magari 22 kwa ajili ya usimamizi na ufuatiliaji wa shughuli za Afya kwenye Sekretarieti za Mikoa na Halmashauri za Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *