WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKIPITA KATIKA MOJA YA MAENEO YALIYOATHIRIWA NA MAFURIKO KATIKA KIJIJI CHA GENDABI, KATESH MKOANI MANYARA.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipita katika moja ya maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika kijiji cha Gendabi, Katesh mkoani Manyara. Mheshimiwa Majaliwa yupo mkoani humo kujionea hali ya athari iliyosababishwa na mafuriko.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mhe Waziri Jenista Mhgama wakiwa ndani ya Helkopita ya Jeshi wakipita katika moja ya maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika kijiji cha Gendabi, Katesh mkoani Manyara. Mheshimiwa Majaliwa yupo mkoani humo kujionea hali ya athari iliyosababishwa na mafuriko.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *