Waziri wa Ujenzi, Innocent. Bashungwa akiwa katika eneo lililo athiriwa na mafuko mkoan Manyara
Waziri wa Ujenzi, Innocent. Bashungwa amewaagiza wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kushirikiana na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mjini ( TARURA) kwa pamoja kuhakikisha wanafanya kazi usiku na mchana ya kuondoa tope kwenye makazi ya watu na kwenye miundombinu

Waziri Bashungwa ameyasema hayo wakati alipoambatana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista J. Mhagama, Waziri wa Madini, Anton Mavunde kukagua