WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMETEMBELEA KAMBI YA MUDA WALIPO WAATHIRIKA WA MAAFA YA MAFURIKO HANANG, KATESH MKOANI MANYARA.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 05, 2023 ametembelea kambi ya muda walipo waathirika wa maafa ya mafuriko yaliyosababisha kuharibika kwa nyumba na miundombinu mingine kutokana kuporomoka kwa tope na mawe kutoka mlima Hanang, Katesh Mkoani Manyara.

Waathirika hao walio katika kambi hiyo ya muda wanahudumiwa na Serikali na wameishukuru Serikali kwa jitihada zilizofanyika za kuhakikisha wanapata huduma hizo muda wote

Waathirika wa mafuriko katika kambi hiyo ya muda wanahudumiwa na Serikali na wameishukuru Serikali kwa jitihada zilizofanyika za kuhakikisha wanapata huduma hizo muda wote

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiendelea kuwatia moyo na kuhakikisha huduma zinapatikana kwa Waathirika wa mafuriko katika kambi hiyo ya muda

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *