Waziri wa fedha, mhe. Dkt. Mwigulu nchemba na waziri wa nchi ofisi ya rais, fedha na mipango-zanzibar, mhe. Dkt. Saada salum mkuya (mb), wakiwa na rais wa benki ya dunia, bw. Ajay banga, baada ya kuwasili katika uwanja wa kimataifa wa amani abeid karume, kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa tathimini ya muda wa kati wa mzunguko wa 20 wa benki ya dunia (ida20 mid-term review) unaohusisha wakopaji, nchi wahisani na menejimenti ya benki ya dunia, utakaofanyika zanzibar, kuanzia tarehe 6 hadi 8 desemba, 2023.