
Rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi, mhe. Dkt. Hussein mwinyi akiwa na waziri wa fedha, mhe. Dkt. Mwigulu nchemba, mhe. Dkt. Saada salum mkuya na rais wa benki ya dunia, bw. Ajay banga, wakiangalia burudani ya ngoma ya asili,

wakati akiwasili kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Tathmini ya Muda wa Kati wa Mzunguko wa 20 wa Benki ya Dunia (IDA20 Mid-Term Review) unaohusisha wakopaji, nchi Wahisani na Menejimenti ya Benki ya Dunia, unaofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip (Airport)- Zanzibar, kuanzia Leo Tarehe 6 hadi 8 Desemba, 2023.

rais wa benki ya dunia, bw. Ajay banga, wakiangalia burudani ya ngoma ya asili, na kumtunza mtumbuizaji

Rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi, mhe. Dkt. Hussein mwinyi akiwa na waziri wa fedha, mhe. Dkt. Mwigulu nchemba, mhe. Dkt. Saada salum mkuya na rais wa benki ya dunia, bw. Ajay banga, wakiangalia burudani ya ngoma ya asili, wakati akiwasili kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Tathmini ya Muda wa Kati wa Mzunguko wa 20 wa Benki ya Dunia (IDA20 Mid-Term Review) unaohusisha wakopaji, nchi Wahisani na Menejimenti ya Benki ya Dunia, unaofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip (Airport)- Zanzibar, kuanzia Leo Tarehe 6 hadi 8 Desemba, 2023.