RAIS MHE. DKT. HUSSEIN MWINYI AKIWASILI KATIKA HOTELI YA GOLDEN TULIP (AIRPORT), SAMBAMBA NA WAZIRI WA FEDHA, MHE. DKT. MWIGULU NCHEMBA, RAIS WA BENKI YA DUNIA, BW. AJAY BANGA,

Rais mhe. Dkt. Hussein mwinyi akiwasili katika hoteli ya golden tulip (airport), sambamba na waziri wa fedha, mhe. Dkt. Mwigulu nchemba, rais wa benki ya dunia, bw. Ajay banga, ambapo amefungua mkutano wa kimataifa wa tathmini ya muda wa kati wa mzunguko wa 20 wa benki ya dunia (ida20 mid-term review) unaohusisha wakopaji, nchi wahisani na menejimenti ya benki ya dunia, unaofanyika zanzibar, kuanzia leo tarehe 6 hadi 8 desemba, 2023. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *