BALOZI WA TANZANIA NCHINI NAMIBIA MHE. CAESAR C. WAITARA,  AMEKUTANA NA MHE. LAURA VEENDAPI MCLEOD-KATJIRUA, GAVANA WA MKOA WA KHOMAS,

Mhe. Caesar C. Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia amekutana na Mhe. Laura Veendapi McLeod-Katjirua, Gavana wa Mkoa wa Khomas, ambao ni Makao Makuu ya Namibia kwa lengo la kujitambulisha na kujadili maeneo ya ushirikiano kati ya Tanzania na Namibia

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *