MHE. KITANDULA AWASILI IRINGA NA AFUNGUA RASMI KIKAO TANO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA TTB

Naibu Waziri Wizara ya Maliasili na Utalii, Mhe. Dunstan Kitandula (Mb) akiwasisitizia wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kuwa Waadilifu na wawajibikaji katika kutekeleza majukumu yao. Hayo ameyasema wakati anafungua rasmi kikao cha tano cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika leo tarehe 7/12/2023 Mkoani Iringa.

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la TTB wakisikiliza ujumbe unaotolewa na Naibu Waziri Wizara ya Maliasili na Utalii, Mhe. Dunstan Kitandula (Mb) wakati akifungua rasmi kikao cha tano (5) cha Baraza la Wafanyakazi la TTB.

Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi TUICO Tawi la TTB, Wiliam Halule akichangia hoja wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika mkoani Iringa.

Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Damasi Mfugale (Kulia) akifanya utambulisho wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la TTB

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TTB, Mhe. Balozi Dkt. Ramadhani Dau akiahidi kuwa Bodi ya Wakurugenzi pamoja na Menejimeneti watahakikisha wanabuni mikakati ya vyanzo vya mapato ili Bodi iweze kuwa na vyanzo vingine vya mapato

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la TTB wakisikiliza ujumbe unaotolewa na Naibu Waziri Wizara ya Maliasili na Utalii, Mhe. Dunstan Kitandula (Mb) wakati akifungua rasmi kikao cha tano (5) cha Baraza la Wafanyakazi la TTB.

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la TTB wakisikiliza ujumbe unaotolewa na Naibu Waziri Wizara ya Maliasili na Utalii, Mhe. Dunstan Kitandula (Mb) wakati akifungua rasmi kikao cha tano (5) cha Baraza la Wafanyakazi la TTB.

imetolewa na Bodi ya Utalii Tanzania Kitengo cha Mawasiliano (TTB)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *