MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIMJULIA HALI BI. CHRISTINA NYANGOLE NA MTOTO WAKE WINA JOSEPH MWENYE UMRI WA MWAKA 1.8

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Bi. Christina Nyangole na mtoto wake Wina Joseph mwenye umri wa mwaka 1.8 ambao wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tumaini, Hanang – Manyara Desemba 7, 2023. Bi. Christina na Mtoto wake ni waathirika wa mafuriko yaliyotokea Katesh

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amembeba mtoto Wina Joseph mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi 8 ambaye pia yeye na mama yake ni waathirika wa mafuriko yaliyotokea Katesh Wilayani Hanang.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waathirika wa Mafuriko waliopo kwenye kambi zao Katesh, Wilayani Hanang mkoani Manyara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ndani ya Helikopta na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga wakiangalia athari za mafuriko yaliyotokea katika mji mdogo wa Katesh pamoja na vijiji jirani, Hanang Mkoani Manyara tarehe 7 Desemba, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waathirika wa Mafuriko waliopo kwenye kambi zao Katesh, Wilayani Hanang mkoani Manyara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waathirika wa Mafuriko waliopo kwenye kambi zao Katesh, Wilayani Hanang mkoani Manyara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waathirika wa Mafuriko waliopo kwenye kambi zao Katesh, Wilayani Hanang mkoani Manyara

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *