Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amekaa kimya kwa dakika moja pamoja na wananchi wakati wakiwaombea dua wakazi wa Katesh na Vijiji jirani ambao walipoteza maisha kufuatia mafuriko yaliowakumba hivi karibuni, tarehe 7 Desemba, 2023
Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wakiwa na huzuni wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungand wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuwapa pole wananchi wa Katesh, Hanang mkoani Manyara tarehe 7 Desemba, 2023.
wananchi wakiwa na huzuni wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungand wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuwapa pole wananchi wa Katesh, Hanang mkoani Manyara tarehe 7 Desemba, 2023.

Waandishi wa habari wanaoshiriki katika utoaji wa habari za Matukio ya mafuriko wakiwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya Msingi Katesh Mkoani Manyara tarehe 7 Desemba, 2023
Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wakiwa na huzuni wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungand wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuwapa pole wananchi wa Katesh, Hanang mkoani Manyara tarehe 7 Desemba, 2023.
wananchi wakiwa na huzuni wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungand wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuwapa pole wananchi wa Katesh, Hanang mkoani Manyara tarehe 7 Desemba, 2023.
wananchi wakiwa na huzuni wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungand wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuwapa pole wananchi wa Katesh, Hanang mkoani Manyara tarehe 7 Desemba, 2023.
wananchi wakiwa na huzuni wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungand wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuwapa pole wananchi wa Katesh, Hanang mkoani Manyara tarehe 7 Desemba, 2023.
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Fredrick Sumaye akiwa pamoja na viongozi wengine wakati wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya Msingi Katesh Mkoani Manyara tarehe 7 Desemba, 2023.