WAZIRI WA FEDHA, MHE. DKT. MWIGULU NCHEMBA (MB), AKIMUAGA RAIS WA BENKI YA DUNIA, BW. AJAY BANGA, KATIKA UWANJA WA KIMATAIFA WA AMANI ABEID KARUME,

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (mb), akimuaga Rais wa Benki ya Dunia, Bw. Ajay Banga, katika Uwanja wa Kimataifa wa Amani Abeid Karume,

baada ya Rais huyo kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Tathimini ya Muda wa Kati wa Mzunguko wa 20 wa Benki ya Dunia (IDA20 Mid-Term Review) uliohusisha wakopaji, nchi Wahisani na Menejimenti ya Benki ya Dunia, ambao umefanyika Zanzibar. Wengine waliokuwepo kumuaga Rais huyo ni, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango – Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Salum mkuya, Rais mstaafu wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya kikwete na Mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia nchini, Bw. Nathan Belete.

Rais mstaafu wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya kikwete na Rais wa Benki ya Dunia, Bw. Ajay Banga, katika Uwanja wa Kimataifa wa Amani Abeid Karume,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango – Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Salum mkuya, akumuaga Rais wa Benki ya Dunia Bw. Ajay Banga, katika Uwanja wa Kimataifa wa Amani Abeid Karume,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *