Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mhe. Samia suluhu hassan akimsikiliza msajili wa hazina bw. Nehemia mchechu mara baada ya kuwasili katika banda la maonesho la hazina wakati wa maadhimisho ya miaka 62 ya uhuru wa tanzania bara tarehe 9 desemba, 2023.