Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Doto Mashaka Biteko wakati wa Maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma 09 Desemba, 2023.