Makamu wa rais mhe. Dkt. Phillip isdor mpango akiondoka ikulu ya chamwino mkoani dodoma mara baada ya hafla fupi ya kupokea hundi ya michango kutoka taasisi mbalimbali kwa ajili ya maafa ya maporomoko ya ardhi yaliyotokea katesh

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpangoakishiriki ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) unaofanyika Davos nchini Uswisi. Tarehe 16 Januari 2024.
Rais samia suluhu hassan akiwa na makamu wa rais mhe. Dkt. Phillip isdor mpango, waziri mkuu mhe. Kassim majaliwa mara baada ya hafla fupi ya kupokea hundi ya michango kutoka taasisi mbalimbali kwa ajili ya maafa ya maporomoko ya ardhi katesh, ikulu dodoma 10 desemba, 2023.
Makamu wa rais mhe. Dkt. Phillip isdor mpango akifurahia jambo na waziri mkuu mhe. Kassim majaliwa, pamoja na waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu (sera, bunge na uratibu) mhe. Jenista mhagama, ikulu chamwino mkoani dodoma