WAZIRI KAIRUKI AWATUNUKU VYETI WAPANDA MLIMA 228 

Waziri wa Maliasili na Utalii,  Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akiwapokea  wapanda mlima Kilimanjaro 228  walioshiriki  kampeni ya ” Twenzetu Kileleni 2023″ kwa ajili ya kuadhimisha miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika Desemba 9,2023, katika hafla iliyofanyika leo Desemba 10,2023 lango la Marangu, Mkoani Kilimanjaro.

Waziri wa Maliasili na Utalii,  Mhe. Angellah Kairuki (Mb)  akimkabidhi bendera ya Taifa iliyofikishwa katika kilele cha  Mlima Kilimanjaro, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Jenerali Mstaafu George Waitara (kulia) baada ya kuwapokea wapanda mlima Kilimanjaro 228  walioshiriki  kampeni ya ” Twenzetu Kileleni 2023″ kwa ajili ya kuadhimisha miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika Desemba 9,2023, katika hafla iliyofanyika leo Desemba 10,2023 lango la Marangu, Mkoani Kilimanjaro.

Waziri wa Maliasili na Utalii,  Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akimkabidhi cheti cha kupanda Mlima Kilimanjaro, Kiongozi wa Wapanda Mlima, Kanali  Martin Msumari katika hafla  ya kuwapokea wapanda mlima Kilimanjaro 228  walioshiriki  kampeni ya ” Twenzetu Kileleni 2023″ kwa ajili ya kuadhimisha miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika Desemba 9,2023,  iliyofanyika leo Desemba 10,2023 lango la Marangu, Mkoani Kilimanjaro.

Waziri wa Maliasili na Utalii,  Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (katikati) akiwa meza kuu na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro na TANAPA katika hafla  ya kuwapokea wapanda mlima Kilimanjaro 228  walioshiriki  kampeni ya ” Twenzetu Kileleni 2023″ kwa ajili ya kuadhimisha miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika Desemba 9,2023,  iliyofanyika leo Desemba 10,2023 lango la Marangu, Mkoani Kilimanjaro.

Baadhi ya Mabalozi walioshiriki  katika  kampeni ya ” Twenzetu Kileleni 2023″ kwa kupanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kuadhimisha miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika Desemba 9,2023, kwenye hafla  iliyofanyika leo Desemba 10,2023 lango la Marangu, Mkoani Kilimanjaro.

Baadhi ya washiriki wa kampeni ya ” Twenzetu Kileleni 2023″ waliopanda mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kuadhimisha miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika Desemba 9,2023,  kwenye hafla iliyofanyika leo Desemba 10,2023 lango la Marangu, Mkoani Kilimanjaro.

Baadhi ya washiriki wa kampeni ya ” Twenzetu Kileleni 2023″ waliopanda mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kuadhimisha miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika Desemba 9,2023,  kwenye hafla iliyofanyika leo Desemba 10,2023 lango la Marangu, Mkoani Kilimanjaro.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *