Bodi ya Utalii Nchini kwa kushirikiana na Tanzania House of Talent wamezindua kampeni ya “Likizo Time” ambapo watatoa nafasi zaidi ya 50 kwa watanzania ili kufurahia Msimu huu wa sikukuu kwenye Hoteli kubwa za Kitalii, Na lengo la kampeni hii ni kuhamasisha Watanzania kufanya utalii wa ndani.
Kampeni hii itakuwa endelevu kwenye sikukuu mbalimbali na itakuwa na punguzo la hadi asilimia 50.
ili kuweza kujishindia nafasi hii adhim tembelea mitandao ya kijamii ya