RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIWASILI KATIKA VIWANJA VYA BARAZA LA MITIHANI TANZANIA (NECTA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika viwanja vya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) kwa ajili ya kushiriki kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Baraza hilo Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *